Tamasha la LA KWETU CONCERT ni Tamasha kubwa na la kihistoria linakuja kupinga mauaji ya ndugu zetu Albino,na uzinduzi wake utafanyikia Mwanza na hivyo kuweza kuzunguka kanda ya ziwa yote na hatimaye kuzunguka nchi nzima.
Tamasha hilo linaandaliwa kwa Ushirikiano na Waimbaji wa Muziki wa
Injili, Watangazaji na Waandishi wa Habari chini ya Kampuni ya FAMARA
INTERTAINMENT ya Jijini Mwanza ikiongozwa na Mkurugenzi Fabian Fanuel akifuatiwa na Mtendaji Mkuu msaidizi Martha Lucas Samwangwa ambapo wanakaribisha wadau mbalimbali wanakaribishwa
ili kufanikisha tamasha hilo ambalo litakuwa la aina yake.
Hongera kwa maandalizi Mungu mwema atume malaika wa ulinzi awalinde na kufanikisha shughuli zima la tamasha
ReplyDelete