Kampuni ya Apple imezindua saa ya
kisasa ambayo inauwezo wa kupiga simu,kupokea barua pepe,kucheza muziki
na kufuatilia masuala ya afya na mazoezi.
Kampuni ya Apple Inc
itaanza kuuza saa zake mpya mnamo mwezi April 24 mwaka huu, na bei ya
kuanzia sokoni itakuwa dola 10,000 ama paundi 6,611 na bidhaa yake ya
kwanza ghali ilitolewa miaka mitano iliyopita katika malengo ya kuongeza
wigo wa bidhaa zake hasa vifaa vya simu za mkononi.
Sasa hiyo
kutoka kampuni ya Apple ya kimichezo kwa zile ndogo zina milimita
thelathini na nane itauzwa kwa dola 349 na saa kubwa itauzwa kwa dola
549 na bidhaa ya mwisho itauzwa kwa dola elfu kumi ,hii ni kwa muujibu
wa Afisa mtendaji wa kampuni hiyo , Tim Cook said mapema wiki hii.BBC
No comments:
Post a Comment