Upendo family group ni moja kati ya kundi kutoka kwenye mtandao wa WhatsApp ambalo limeweza kusaidia sana watu wake na jamii kwa ujumla,kwa muda mfupi wanajivunia sana kudumu katika upendo kwa kusaidiana wao kwa wao wakati wa shida na raha,kubwa zaidi kuinuana kiuchumi kwa kila mwana Upendo Family,kama unavyofahamu kuwa Upendo huanzia ndani ndipo hutoka nje.
Hawa ndiyo wanaounda Upendo Family
Group la Upendo Family limeanzishwa na mwimbaji mashuhuri wanyimbo za injili hapa Tanzana aitwaye Christina Matai akisimama kama Admin na kuliongoza vyema kundi katika misingi ya kidini likihubiri injili na likiwa na malengo mengi makubwa tofauti na makundi mengine mengi ambayo watu wamekuwa wakiyaanzisha ki ukweli Upendo family ina kila sababu za kuigwa.
Hata hivyo Upendo family group ilianzishwa tarehe 25/04/2014 na hivyo kulifanya kundi kuwa na mwaka mmoja mpaka hivi sasa na haya hapa ni baadhi ya matukio katika picha ya kutimiza mwaka:
Keki ya wana Upendo Family iliyoandaliwa na Lucy Maroda almaarufu kama Shalom Cakes
|
Admin Group wa Upendo Family Christina Matai |
|
Wana Upendo Family wakifurahi kwa pamoja | |
|
|
|
|
Wana Upendo Family wakifurahi kila mmoja akiwa na zawadi yake ya kutimiza mwaka mmoja |
|
Kama sehem ya kuadhimisha mwaka mmoja wa Upendo Family uongozi umepanga kwenda kutembelea kituo cha watoto yatima cha Sifa Faundation kilichopo Bunju. |
|
| | |
| | | | | | | | | | | | | | |
|
Asante sana Martha kwa huu ujumbe tunawakaribisha wote tujumuike kuwachangia hawa watoto wetu nao wajione sehemu yetu kijamii
ReplyDeleteUbarikiwe sana.