Pages

Thursday, June 05, 2014

FAIDA ZA UFUGAJI NG'OMBE WA KISASA


Ng'ombe wanafaida nyingi sana ikiwemo Nyama,maziwa,mbolea na Ngozi vyote hivyo vinaweza kukuingizia kipato,katika utafutaji hakuna kitu rahisi katika maisha ya mwanadamu.japo kunawatu wengi wamekuwa wavivu wakati hawana kazi hata moja na hujikuta wanaishia tu kukaavijiweni na kusema ipo siku nitafanikiwa.

No comments:

Post a Comment