1.Sheria zimepitwa na wakati,rasilimali pungufu na urasimu.
2.Hakunauwazi katika sekta hiyo,serikali haina chombo maalumu cha kuratibu
shughuli za muziki na ukosefu wa elimu ya biashara katika sekta hiyo.
3.Hakuna uelewa wa kutosha katika masuala ya hakimiliki,kodi kubwa
katika vifaa vya muziki kwenye sekta hiyo.
4.Serikali inapaswa kutazama upya sera na ikiwezekana kuandika
nyingine ili kulinda kazi za wasanii na piakurahisisha kazi ya kukusanya mapato
kwenye sekta hiyo.
5.Serikali inatakiwa kutengeneza mfumo wa kisasa katika kubaini
kampuni na idadi ya wasanii nchini ili kurahisisha ukusanyaji kodi nakulinda
haki zao.
No comments:
Post a Comment