Mkazi wa kijiji cha mafleta kata ya Kipungwi,Pangani amekufa
baada kushambuliwa na Mamba wakati akifua nguo kando ya Mto Mafleta.
Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga,Costantine Massawe alisema
mkazi huyo Mwasiti Yusuph (42)alikutwa juzi saa 10:00 jioni.
Mashuhuda walisema kuwa mkazi huyo alivamiwa na mamba,hivyo
kushindwa kupambana.
No comments:
Post a Comment