Kijana wa miaka 17,ameukata ulimi wake vipande vipande
kwa kisu na kuuweka hekaluni kama tendo
kubwa la ibada kwa Mungu wake wa
wahindi maarufu Lord Shiva.
Lalmohan Soren akiwa katika hekalu laMahedevgarha huko Dugda
Jharkhand nchini India alitekeleza azma yake na waumini wa hekalu hilo
walipofika asubuhi kwa ajili ya kuabudu wwalikutana na damu zilizokuwa
zimetapakaa chini.
Ulimi wa Lalmohan ulikuwa ndani ya bakuli karibu na miguu
yake huku miguu yake huku kukiwa na nakaratasi kinachosemwa “Nimekata ulimi
wangu kama sadaka kwa Mungu Shiva tafadhali msinitoe nje ya hekalu,mimi nataka niendeleekukaa hapa
chini ya ulinzi wa Mungu “
Kiongozi mara baada ya kupata taarifa alifanikiwa
kumshawishi Lalmohan kwenda hospitali.
Madaktari walijaribu kurudisha na kuutengeneza upya ulimi
wake kwa kuushonea sehemu aliyokata na kisu kikali ilishindikana na hivyo
kumruhusu arudi nyumbani baada ya siku chache.
Eneo hilo la makabila ya Santhal nchini India ni maarufu
sana kwa matukio ya ajabu ambayo yanaaminika kama ni ya kishirikina ambao watu
huufanya katika kuiomba miungu yao.
No comments:
Post a Comment