Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja raia wa Saudia
Arabia ameweka jokofu lililosheheni vyakula nje ya nyumba yakekwa lengo la
kuwasaidia watu wasiokuwa na uwezo wa kununua chakula.kwa mujibu wa gazeti la
Gulf News msamalia huyo pia aliwaambia majirani zake watumie jokofu hilo kuweka
vyakula ambavyo ili kuwapa fursa masikini wakipita eneo hilo kujihudumia bila
wasiwasi.
No comments:
Post a Comment