Mwanamuziki Justin Bieber amepata
mpenzi mpya aitwaye Yovanna Ventura,Bieber (20)anayetamba na kibao chake cha
Confident amenaswa na vyombo vya habari mara kwa mara akiwa na mwanadada huyo
sehemu mbalimbali za starehe.
Mwanadada huyo ni mkazi wa Marekani
akiwa raia wa Hispania alionekana pia akiwa na mpenziwe huyo kwenye pambano la
ngumi la bondia Floyd Mayweather.
Baada ya hapo walionekana wakiwa
Carfornia wakiwa wanaponda raha katika fukwe ya Venice.Kwa sasa msanii Bieber
amesisitiza kuwa mwanadada huyo ni rafiki yake wa kawaida tu ila kuna kila
dalili kuwa wawili hao wanauhusiano.
No comments:
Post a Comment