Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond
Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo
limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya
tuzo hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyo
Katika wiki ya ya 17 tangu watu waanze kutaja majina ya wasanii wa Afrika, Diamond ameendelea kuongoza na kuwaacha mbali wasanii wakubwa wakiwemo Koffie Olomide, Sarkodie, Fally Ipupa, Werason na wengine.Udaku
No comments:
Post a Comment