Mwanamuziki Jay Z ameingia matatani na mtayarishaji wake wa
zamani wa muziki kuhusiana na umiliki wa Master tape.Mtayarishaji wa muziki
Chauncey Mahan alikamwatwa na Polisi kwa mahojiano zaidi kuhusiana na mzozo
huo.
Mahan alikuwa akitaka kulipwa dola za Marekani laki moja na
Jay Z ili aweze kumpatia master tape hiyo inayohusisha nyimbo za Jay Z
alizoimba tangu mwaka 1998 na 2002.
Ni albamu ambayo ina nyimbo kama The Life and Times of
S.Carter,Big Pimpin,I just Wanna love u zilizouza nakala kati ya milioni 15
hadi 20.
No comments:
Post a Comment