Pages

Wednesday, March 12, 2014

MARIO BALOTELLI ATAJWA KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA.



Maofisa wa mamlaka ya Anga Malaysia wanaoendelea na juhudi za kusaka ndege iliyopotea katika mazingira ya kutatanisha na wamesema kuwa mmoja kati watu wanaoshukiwa kutumia hati bandia ya kusafiria katika ndege hiyo ametambulika kuwa na sura inayofanana na mchezaji wa AC Milan ya Italia ,Mario Balotelli.

No comments:

Post a Comment