Pages

Tuesday, March 17, 2015

MAAJABU YA KWARE

Mayai ya Kware yamethibitishwa kuwa ni chanzo kikuu cha vitamin A, B1, B2, B6, B12 na Vitamin D, madini ya chuma, zinc, Copper, phosphorus, na virutubisho vingine, madini ya mwilini na amino acids ambayo yanapelekea yai hili kuwa chakula muhimu kwa lishe ya binadamu.

Kula mayai ya kware kwa afya njema inashauriwa kuyala yakiwa mabichi. Watun wengi hawapendi kuyala yakiwa mabichi lakini kuyafanya yawe matamu ni kuchanganya na maziwa na asali au soma Jinsi ya kutengeneza Milkshake ya ndizi na Mayai ya Kware . Kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza ubora wa damu utumiaji wa mayai 60 unahitajika. Mwanzo tumia mayai 3, halafu mayai 5 kwa siku, Hakuna anayesema kwamba mayai ya kware hutibu magonjwa makubwa kama Kansa lakini faida zake kwenye mwili wa binadamu zimethibitishwa na madaktari bingwa. 

Mayai ya Kware yanachukuliwa kama ni tiba namba moja ya asili. Madaktari wakichina wajadi wamekuwa wakitumia mayai ya kware mamia ya miaka iliyopita na yamewapa matokeo mazuri kwa muda wote huo. Kadri yai hili linavyokuwa rahisi kupatikana watu wengi wanabadilika kutoka kwa kutumia madawa ya kemikali na kurudia tiba hii ya asili. 

Wataalamu hao wa tiba za asili wanathibitisha yai hili kuwa na faida kimatibabu kwa wagonjwa wa msongo wa mawazo, hypertension (BP), wanaosumbuliwa na kuchelewa kwa mzunguko wa chakula tumboni, vidonda vya tumbo, matatizo ya maini, pumu, lipid control, migraine, anemia, na baadhi ya aina za allergy, eczema, matatizo ya moyona mapafu.Kwa anayehitaji vifaranga vya kware na mayai karibu tuwasiliane kwa namba hii +255 712 419 419


Jinsi ya utumiaji wa mayai ya kware kulingana na umri.

Umri (Miaka)Jumla ya Idadi ya MayaiJumla ya Idadi ya SikuSiku ya 1Siku ya 2Siku ya 3Siku ya 4 na kuendelea
Mtu Mzima240493345
Mtu Mzima120253345
16-18 120253345
11-15 120313334
8-10 90303333
4-7 60203333
1-3 60302222
Miezi 3 hadi mwaka 130301111

Wataalamu wa dawa za asili wameshauri utaratibu ufuatao uweze kutumika na watu wataotumia mayai ya kware kwa ajili ya kusaidia matibabu ya ugonjwa husika kama ifuatavyo:- 



 Kwa Watoto: Ulaji wa mayai ya kware unashauriwa kwa watoto yakiwa mabichi au yamepikwa kwa ajili ya nguvu za mwili na akili. mayai ya kware yanakuza akili.
Ukuaji wa mwili na Afya100eggs
Kuimarisha misuli na kufanya ubongo ufanye kazi vizuri120eggs
Kwa Wazee: Mayai ya kware yanatabia kubwa ya kukuza celi za mwili hivyo inashauriwa sana kwa wazee kutumia. Inaweza kuppoza makali/au kutibu magonjwa mengi yanayoendana na uzee, ukosefu au kuzidi kwa virutubisho mwilini.
Mayai ya Kware yanasaidia kuirudisha Afya ya binadamu katika hali ya kawaida na kusaidia ukuaji.240eggs
Kurudisha kumbukumbu na kurinda seli husika120eggs
improves sexual potency120eggs
Kuimarisha kiungo kilichodumaa kutokana na kazi nyingi au msongo wa mawazo.240eggs
Kuimarisha Mwili.240eggs
Matibabu ya Allergy
Pumu240eggs
Madoa katika Ngozi120eggs
Eczema conjunctivitis (Kuathirika kwa kiwambo cha jicho kutokana na Allergy)120eggs
Allergic rhinitis (kuathirika kwa ndani ya pua kutokana na Allergy)240eggs
Matibabu ya Mfumo wa Mmeng'enyo
Vidonda vya Tumbo240eggs
Kuchelewa mmeng'enyo wa chakula.120eggs
Utoaji wa kemikali nyingi za kusaidia mmeng'enyo kuliko kawaida.120eggs
Matibabu ya Magonjwa ya Ini
Imarisha utendaji kazi wa Viungo240eggs
Matibabu ya Magonjwa ya Figo
Imarisha utendaji kazi wa Viungo240eggs
Matibabu ya Magonjwa ya Moyo
Improves the functioning of the heart in the case of coronary sclerosis240eggs
Matibabu ya Mzunguko wa Damu
Anaemia240eggs
Arterial hypertension240eggs
Treatment of metabolic diseases:
gouts240eggs
Kitambi/Utapiamlo240eggs
Kisukari240eggs
Matibabu ya Akili
neurasthenics240eggs
Afya ya Akili240eggs
Faida za Mayai ya Kware wakati wa Mimba na Unyonyeshaji Mtoto:
Matumizi ya mayai ya Kware huimarisha mwili wa mama kabla na baada ya kujifungua pamoja na baada ya operation na matibabu yanayohusisha mashine za mionzi kama X-Ray. Pia huimarisha akili na mwili wa mtoto pamoja na kumsaidia mama kuimarika baada ya kujifungua. Mayai ya Kware husaidia kuongeza ubora wa maziwa ya mama.240eggs
HIV, AIDS:
Matumizi ya mayai ya kware huongeza kinga ya mwili yaani CD4. 240eggs

No comments:

Post a Comment