Makubaliano
baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania
(TCD), kutaka Bunge Maalumu lifikie ukomo Oktoba 4, mwaka huu yamezua
sintofahamu mjini hapa huku uamuzi huo ukionekana kuwachanganya viongozi wa
Bunge hilo.
Rais
Jakaya Kikwete jana aliwafukuza makada wa CCM waliokuwa wakimsubiri kwenye
kituo cha dharura cha ebola alipokitembelea kwa kushtukiza katika Hospitali ya
Temeke jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Nigeria Goodluck Jonathan ameamuru mabango ya hekeheka za uchaguzi yenye
nembo ya kauli mbiu ya 'Bring Back Jonathan 2015' yang'olewe mara moja.
Liberia
inakabiliwa na tisho kubwa kwa utaifa wake huku janga la Ebola likiendelea
kuenea kwa kasi kubwa nchini humo.Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya waziri wa
ulinzi nchini humo.
Wafungwa
wawili wamepigwa risasi walipokuwa wakijaribu kutoroka kutoka katika mahakama
moja nchini Afrika Kusini.
No comments:
Post a Comment