Kris Jenner amevunja ukimya kwa kuzungumzia kitendo cha Jay Z na Beyonce kuacha kuhudhuria sherehe hiyo.Kris ambaye ni mzazi wa Kim aliiambia tovuti ya instyle kuwa katika sherehe zilizofanyika Florence Italia,fikra kuwa watu hao wawili hawakuwepo zilikuwa mwishoni baada ya vitu muhimu kuisha na eneo la tukio kutulia na watu kuanza kuingia kwenye mitandao lakini hapo awali hakuna aliyejua pengo lao.
"Kwamba hawakuwepo ilikuwa ni fikra za mwisho za kila mmoja wetu,lakini hapo awali hakuna aliyekuwa akiwafikiria"alisema Kris mwenye umri wa miaka 58.
No comments:
Post a Comment