Wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam
wametakiwa kwenda katika Hospital za Serikali wanapohisi dalili za Ugonjwa wa
Denge,kwa kuwa matibabu hutolewa bure wakati Serikali ikijiandaa kusambaza
vifaa vya kupimia ugonjwa katika wilaya zote nchini.
Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib
Bilal akifungua Kongamano la pili la kisayansi lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha
afya na sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas)alisema Serikali hainamchezo katika
kupambana na Mlipuko wa Ugonjwa wa Denge.
No comments:
Post a Comment