Mwanamuziki wa Nigeria wa David
Adeleke Davido amekesilishwa natabia ya rushwa iliyopitilizwa kwa wafanyakazi
wa viwanja vya ndege chini humo .
Davido kutokana na mazingira ya
rushwa yaliyopitilizwa alijikuta akiikosa ndege iliyokuwa imupeleke uingereza
kwaajili ya onesho .
Maofisa wa uhamiaji
walimusimamisha wakimushinikiza kutoa rushwa wakijidai kuwa hawamtambui kama ni
raia wan nchi hiyo
Msanii huyo aligoma na kisha
waliishia kugombana na walimnyima kumruhusu apite na kuondoka.
Kwa muda mrefu wananchi nchini humo
wamekuwa wakilalamikia mazingira ya rushwa yanayofanywa na na maofisa wa
uhamiaji ambapo huwaomba fedha au kuwatishia kuwauzia kusafiri.
No comments:
Post a Comment