Pages

Sunday, May 04, 2014

PENNY NDANI YA EFM 93.7



Kukufanya uelewe zaidi ni kuwa Penny ameshamove on… So wakati Weimond wakila bata Mtwara, Penny amekuwa akijiandaa kwenda hewani kama mtangazaji wa kituo kipya cha redio cha Dar es Salaam, EFM

“EFM 93.7 Dar es salaam… Wazungu wanasema??!!’ Coming soon,” ameandika Penny kwenye picha anayoonekana akiwa ndani ya studio za kituo hicho cha redio.UDAKU SP

No comments:

Post a Comment