Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!
Radio Dutch Velle ya mjini Kolon
Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa
matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya
Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha
ghafla.
Chanzo:Udaku
No comments:
Post a Comment