Ingawa neno “uchumba” halipatikani katika Bibilia, tumepewa kanuni
kwamba Wakristo wanastahili kupitia kabla ya ndoa. Kanuni ya kwanza ni
kwamba ni lazima tutafautishe mtazamo wa dunia kuhusu uchumba kwa sababu
mtazamo wa Mungu wahitilafiana na ule wa dunia (2 Petero 2:20). Huku
ikiwa mtazamo wa dunia juu ya uchumba huenda usiwe na jinsi tunavyo
taka, cha muimu ni kutambua tabia ya mtu kabla tufanye ahadi naye.
Lazima tujue ikiwa huyu mtu ameokoka katika roho wa kristo (Yohana
3:3-8) na kama huyo mtu ako na nia ile kama ya kristo (Wafilipi 2:5).
Lengo kuu la uchumba ni kumtafuta mpenzi wa maisha. Bibilia inatuambia
kwamba, kama Wakristo tusioe wasio Wakristo (2 Wakorintho 6:14-15) kwa
sababu hii itafanya uhusiano wetu na Kristo na tuaibishe tabia zetu na
kanuni zetu ziwe hafifu.
Wakati mtu amejitoa kw uhusiano, hata kama ni wa uchumba, ni muimu kukumbuka kumpenda Mungu kuliko vitu vyote (Mathayo 10:37). Kusema au kuamini kuwa mtu mwingine ni “vitu vyote” au kitu cha maana katika maisha ni kuabudu sanamu, ambayo ni dhambi (Wagalatia 5:20; Wakolosai 3:5). Pia hatustahili kuichafua miili yetu kwa kufanya usherati (1 Wakorontho 6:9, 13; 2 Timotheo 2:22).

Dhambi ya usherati sio dhambi kwa
mwili pekee bali ni kinyume na Mungu (1 Wakorintho 6:18). Ni muimu
kuwaeshimu na kuwachukulia kuwa watu wa heshima vile tunavyojipenda
wenyewe (Warumi 12:9-10). Na hii ni kweli kwa uhusiano wa uchumba.
Hata
kama mnachumbiana, kuifuata kanuni hii ndio njia nzuri kuwa na msingi
salama wa ndoa. Mojawapo ya maamuzi tutakayofanya, kwa sababu wakati
watu wawili wanaoana, hushikana na kuwa mwili mmoja kwa uhusiano ambao
Mungu anaunuia uwe wa kudumu na usiovunjika (Mwanzo 2:24; Mathayo 19:5).
No comments:
Post a Comment