Imebainika kuwa ulaji wa matunda na mbogamboga zenye kimeng’enyo
(Enzymes) cha Carotenoid kwa wingi kama vile viazi,karoti,spinach,matikiti na
hata viazi vitamu,unaweza kukuondoa katika hatari ya kupata maradhi ya matiti
ikiwemo ikiwemo saratani kupitiaa vidondosha sumu vinavyopatikana ndani yake.
No comments:
Post a Comment