Mwanamitindo maarufu Bongo ,Martini Kadinda amempongeza Elizabeth Michael “Lulu” kwa kumuita nyau
Martin alifanya hiyo issue wakati akimtakia Lulu Happy
Birthday April 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19.
Paparazi wa Ijumaa alipomhoji kuhusiana na kumuita Nyau ,Martin alifunguka:
“Yule ni mdogo nimemlea tangu akiwa anasoma Secondary pale
Perfect Vision Ubungo,nimetumia neon Nyau kama utani lakini nikimaanisha mdogo
wangu.
No comments:
Post a Comment