NGULI wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’,
amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na
umri wa miaka 73.
Gurumo, mwanamuziki mwenye historia ndefu ya muziki nchini, alikuwa
akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu na kumfanya astaafu
muziki hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment