Jumla ya jezi milioni 1 za mchezaji wa Real
Madrid,Christiano Ronaldo zilliuzwa msimu wa mwaka 2013/2014 na kuzidi jezi za
timu nzima ya Bayern Munich ambayo iliuza jezi 880,000.
Ronaldo hivi sasa ndiye anayeshikilia tuzo ya mchezaji bora Duniani,pia bidhaa mbalimbali
zenye jina lake zinanunulika sana sehemu mbalimbali duniani.
Kwa mujibu wa gazeti la bildi la Ujerumani,klabu za Real
Madrid na Manchester United ndiyo
zilizoongoza baada ya kila moja kuuzajezi 1.4 milioni mwaka 2013,lakini kuanzia
mwanzoni mwa mwaka huu mauzo ya Manchester United yaliongezeka.
WACHEZAJI WALIOONGOZA KWA MAUZO YA JEZI
1.Christiano Ronaldo (Real Madrid)
2.Lionel Messi(Barcelona)
3.Mesut Ozil (Arsenal)
4.Wayne Rooney(Man United)
5.Robin Van Persie(Man United)
6.Zlatan Ibrahimovic(PSG)
7.Neymar(Barcelona)
8.SergioAguero(Man City)
9.Ferdnando Torres(Chelsea)
10.Shinji Kagawa(Man United)
KLABU ZILIZOONGOZA KWA MAUZO YA JEZI
1.Real Madrid..............................1,400,000
2.Manchester United................... 1,400,000
3.Barcelona..................................1,150,000
4.Chelsea....................................... 910,000
5.Bayern Munich............................ 880,000
6.Liverpool ....................................810,000
7.Arsenal .......................................800,000
8.Juventus ......................................480,000
9.Inter Milan.................................. 425,000
10.AC Milan .................................350,000
No comments:
Post a Comment