Huenda ukawa umeshakutana kwenye mitandao na picha ya askari
polisi Kenya aliyevaa sare (hususani sketi inayobana)zinazolionyesha kwa uzuri
umbo lake matata.
Trefiki huyo wa kituo cha polisi cha Kiambu,Linda Okello
aliitwa na kamanda wa polisi kaunti hiyo James Mugeria na kupewa onyo kali na
uvaaji wake.
”Kamanda wa kaunti alimuita na kumuonya kwa picha hizo zilizosambaa
zinamuonyesha akiwa na sketi iliyobana,”alisema afisa mmoja wa polisi.Bongo5
No comments:
Post a Comment