Pages

Wednesday, April 23, 2014

KWA STYLE HII JAMANI TUTAUANA......BIDHAA IMETENGENEZWA KABLA YA MUDA WAKE.TBS MKO WAPI?



Hii Ndio Tanzania Yetu hakuna umakini wa kila jambo, kwasababu tbs ndo wenye jukumu la kuweka hizo tarehe je nao wamekosea tarehe ya utengenezaji jiulize ni bidhaa ngapi sasa wamekosea tarehe ya mwisho ya kutumika bidhaa husika. nikiwambia hawa watu wauwaji mnabishia.Udaku

No comments:

Post a Comment