Pages

Wednesday, April 23, 2014

WEMA AWASHUKURU WATANZANIA KWA KUIBUKA "IJUMAA SEXIEST GIRL 2014"


"Kama ingekuwa kuandikwa vibaya kunaweza kuzima nyota ya mtu,pengine leo hii mimi nisingekuwa hapa sasa hivi.Namshukuru MUNGU pia kwa kunisimamia katika kila ninachokifanya."alisema wema 
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka kidedea katika shindani la "Ijumaa Sexiest Girl 2014"

No comments:

Post a Comment