Safari ya Diamond nchini Nigeria inaendelea kuzaa matunda kama
alivyokusudia. Baada ya kushirikishwa na Waje, jana mkali huyo wa bongo
flava aliingia booth na msanii mwingine mkubwa wa Nigeria, Dr Sid.
Jana usiku Dr SID amepost kwenye Instagram picha akiwa studio na Diamond na kuandika, “Studio Session with @diamondplatnumz #AfricanPrince #NaijaTanzania”
Dr Sid anafanya kazi chini ya Mavin Records ya Don Jazzy na alishawahi kushinda tuzo kubwa duniani ikiwemo ‘Hiphop World Awards’ ambapo mwaka 2011 alichukua tuzo mbili za Hiphop World Revelation of the year na Best Pop Single.Udaku special

No comments:
Post a Comment