Kampuni ya Epic Records,kutangaza kutoa albamu mpya ya
aliyekuwa staa wa muziki wa pop duniani,hayati Michael Jackson itakayoitwa
“Xscape” .Jackson alifariki Dunia mwaka 2009.lakini kuna nyimbo ambazo aliwahi
kuzifanya na watayarishaji wakongwe kama Timberland,Rodney
Jerkins,Stargate,John McClain na Jerome.
No comments:
Post a Comment