Pages

Friday, March 14, 2014

WOLPER:WASANII TUJIHESHIMU



Muigizaji Jackline Wolper amesema wasanii ni watu muhimu sana katika jamii, hivyo kuna kila sababu ya kujithamini na kujiheshimu kwa kuwa wao ni kama kioo na kufanya kwao vizuri hata makampuni makubwa yatawaona na kufanya nao kazi.

No comments:

Post a Comment