Pages

Friday, March 14, 2014

KIDUMU AJA NA BIRAKAZE


Mwanamuziki Nimbona Jean-Pierre 'Kidumu' anakuja kivingine kwenye wimbo mpya ambao wakati huu amemshirikisha mshindi wa TPF3 Alpha.

Katika video ya wimbo mpya uitwae 'Birakaze' Alpha anaonekana akimsaidia Kidumu Kumbembelezea kwa mpenzi wake na kuufanya wimbo huo kuwa wa kuvutia.

No comments:

Post a Comment