Pages

Monday, March 24, 2014

WEMA ATAMANI MTOTO


Nyota wa filamu nchini Wema Sepetu amesema anatamani sana kupata mtoto wake na kwamba siku atakayompata atasikia furaha isiyokuwa na kifani.
Wema ni mmoja kati ya waigizaji wanaopendwa zaidi hapa nchini alipost picha na video ya mtoto mdogo akicheza katika ukurasa wake wa Instagram na kuambatanisha na ujumbe"Ninapata wazimu ninapokuwa karibu na watoto.Nashindwa kusubiri,natakaniwe na wangu nikimpata nawezakufa kwa furaha."

No comments:

Post a Comment