Pages

Monday, March 24, 2014

KIM NA KANYE KWENYE JARIDA LA VOGUE

Jarida la Vogue mwishoni mwa wiki iliyopita lilichapisha picha itakayokaa kwenye jarida hilo toleo la April ambalo limepambwa na picha ya wapenzi hao wanaofuatiliwa kwa karibu kwa sasa,Kim Kardashian na Kanye West.
Hebu jionee picha hiyo na zingine zitakazo kuwa ndani ya jarida hilo

No comments:

Post a Comment