Kuna taarifa zilianza kupatikana kupitia
vyanzo mbalimbali vya habari kwamba msanii ambae pia ni mtangazaji wa
102.5 Choice FM Dar es salaam Vanessa Mdee ataonekana kwenye show mpya
katika kituo cha Television cha TV1.
V money anapenda kukufahamisha kwamba
hatoonekana kwenye show hiyo, yani hajaichukua hiyo kazi kutokana na
ratiba yake (V) kumbana kutokana na mipango yake ya sasa pia ya kusafiri
kuendeleza muziki wake.
Imekua ngumu kwa sasa sababu ameamua
kufocus zaidi kwenye muziki hivyo atashindwa pia kuhimili kuifanya hiyo
kazi ambayo pia inaratiba kubwa ya shooting. chanzo UDAKU
No comments:
Post a Comment