Pages

Thursday, March 13, 2014

HONGERA PAPA FRANCIS KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA


Kiongozi Mkuu wa kanisa Katoriki,papa Francis,ametimiza mwaka mmoja tangu alipochaguliwa kushika wadhifa huo.

Katika miezi 12 ya uongozi Papa Francis amefanya mambo kadhaa muhimu ambayo watangulizi wake walishindwa kuyafanya huku akitoa kipaumbele ujenzi wa kanisa hilo katika sehemu zenye ongezeko kubwa la watu na kuwajali masikini.
miongoni mwa mambo yasiyo ya kawaida aliyoyafanya baada ya kuchaguliwa,ni pamoja na kukataa kutumia gari maalumu kwa ajili yake.

No comments:

Post a Comment