Marekani imefanikiwa kukusanya kodi ya Dola milioni 2 za marekani kutoka katika chanzo kipya cha mapato nchini humo baada ya kuhalalisha matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi,januari mwaka huu.
Jimbo la Cororado limekuwa la kwanza nchin humo kuhalalisha matumizi ya bangi mwaka 2012 na kufungua biashara mpya.
Kutokana na kuanzishwa kwa biashara hiyo kampuni 59 zimetoa taarifa za kodi baada ya mauzo inayokadiriwa kufikia Dola 14 za Marekani.
Matumizi ya marijuana yalipendekezwa na Gavana wa Colorado John Hickenlooper na sasa mpango huo unaingiza fedha fedha jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment