Wakati albamu yake mpya wololo ikiendelea kufanya vizuri mwimbaji wa nyimbo za injili nchini,Rose Muhando amekamilisha albamu yake ya tano iitwayo Pindo la yesu.
Akizungumza jana Rose Muhando alisema albamu hiyo ameirekodi kwenye studio ya EAC productions ya magomeni na kwamba amefanya hivyo ili kukidhi mahitaji ya mashabiki wake ambao kwa muda mrefu hawajapata kitu kipya.
No comments:
Post a Comment