Rais Yoweri Mseveni
Rais wa Uganda Yoweri Mseveni amewataka vijana wengi wa nchi
hiyo kuiga tamaduni zao na kuachana na tamaduni za Kimagharibi.Aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa tamasha za utamaduni katika chuo kikuu cha Busitema.Alisema ingawa tamaduni nyingi za ulaya zinaonekana za kisasa,utamaduni wa Kiafrika unakuza dini na nidhamu,hivyo ni bora zikafatwa.
No comments:
Post a Comment