Rais wa
Tanzania Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuzindua rasmi shughuli za bunge la
kitaifa kuhusu marekebisho ya katiba mjini Dodoma katika hatua itakayoanzisha
rasmi mjadala wa kitaifa kuhusu marekebisho hayo.
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesisitiza
msimamo wake wa kutaka kuendelea na muundo wa Serikali mbili huku
kikiweka wazi kuwa kina masilahi makubwa na mfumo huo.
Kimesema suluhisho la kumaliza changamoto za Muungano siyo kubadili muundo wake na kuwa na Serikali tatu, bali ni kuufanyia maboresho.
Kimesema suluhisho la kumaliza changamoto za Muungano siyo kubadili muundo wake na kuwa na Serikali tatu, bali ni kuufanyia maboresho.
Ndege na
meli kutoka nchi mbali mbali zinaendelea kuitafuta mabaki ambayo huenda
yanatokana na ndege ya Malaysia iliyopotea Matumaini ya kutatua kitendawili
hicho yaliongezeka baada ya Australia kutoa picha za Satelaiti za vitu viwili
vilivyoonekana baharini vikidhaniwa kuwa vifusi vya ndege hiyo. takriban wiki
mbili zilizopita ikiwa imebeba takriban watu 240.
Viongozi kutoka mataifa ya Jumuiya ya Ulaya wanaokutana mjini Brussels kuimarisha vikwazo wanavyoiwekea Urusi,wameamua kuongeza idadi ya Warusi wanaopaswa kuwekewa vikwazo kibinafsi.Orodha ya awali ya 21 sasa imeongezewa watu wengine 12.
No comments:
Post a Comment