Maandalizi ya ndoa ya kimila kati ya Paul na mchumba wake Anita Isama, itakayofanyika jumamosi ya wiki hii maandalizi yamepamba moto.
Ndugu wa pande zote wapo kwenye maandalizi makali ikiwemo kuandaa kadi za mualiko kwa wageni waalikwa.
Wawili hao wameachia picha zao za maandalizi ya ndoa na hakuna shaka wanaonekana kupendeza.Baada ya kuweka picha hizo kwenye mitandao ya kijamii Instagram,Paul alisema 'Nimeamua, nimepevuka akili,nimeamua ni wakati wa kutulia na mmoja'
No comments:
Post a Comment