Serikali imeanza juhudi za
kujinasua kwenye lawama kwamba haifanyi juhudi za kutosha kupambana na ujangili
kwa kuwaaalika waandishi wa habari wa kimataifa ili kujionea kazi inayofanyika.
Tayari waandishi wa habari
kutoka Uingereza aliyeandika habari katika gazeti la Daily Mail,Martin Fletcher
kuwa Tanzania haifanyi jitihada zozote kukabiliana na ujangili amewasili
nchini.
Mwandishi huyo aliandika habari kwenye gazeti hilo toleo la februari 8 na 9 mwaka huu kwamba serikali ya Tanzania imeshindwa kutimiza wajibu wake katika kuwalinda Faru na Tembo ambao wako hatarini kutoweka.
No comments:
Post a Comment