Pages

Tuesday, March 11, 2014

BRAD PITT: UMRI UMEENDA NATAMANI KUPUMZIKA KUIGIZA.





Mwigizaji Brad Pitt kutoka Carfornia nchini Marekeni,amesema anatamani kuachana na kuigiza badala yake awe muongozaji au m piga picha.anasema ameshakaa mbele ya kamera akifanya hili na lile na sasa anataka kukaa nyuma ya kamera.

Pitt ambaye ni mume wa muigizaji mahiri Angelina Jolie alisema "umri umesonga natamani sasa kuongoza filamu badala ya kuigiza".

No comments:

Post a Comment