Pages

Tuesday, March 18, 2014

HARUSI YA KIM NA KANYE SIMU MARUFUKU JAY Z NA BEYONCE RUKSA

                                                           Kanye na Kim katika pozi

Kanye West na mzazi mwenzie Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa yao mwezi wa tano, ni moja kati ya harusi inayosubiriwa kwa hamu sana hivi sasa ukizingatia kuwa kuna taarifa kwamba waalikwa wote hawataruhusiwa kuingia na simu za mkononi wala kamera kwenye harusi ya mastaa hao wawili.

Hayo yote ni kutaka kuepusha watu kupiga picha ama video na kuzipeleka kwenye mtandao kama ilivyokuwa kwenye engagment party yao ambapo mtu mmoja alichukua video yao na kuiposta you tube bila ruhusa yao lakini wamesema Jay Z na Beyonce ruksa kuingia na simu zao.

No comments:

Post a Comment