Pages

Tuesday, March 25, 2014

DIAMOND KUMTAMBULISHA MSANII WA KIMATAIFA


Mwanamuziki Diamond amesema hivi karibuni anatarajia kumtambulisha mwanamuziki mpya wa kimataifa aliyefanya nae kazi."ninatarajia kuachia wimbo wimbo ambao nimefanya na mwanamuziki wa kimataifa mkubwa tu,na mwishoni mwa wiki nitakwenda Nigeria ili kukamilisha video yake na punde kazi itaruka hewani" alisema Diamond ambaye ametangaza kufanya kazi na Iyanya,D Banj na Mr Flava

No comments:

Post a Comment