Pages

Tuesday, March 25, 2014

BABA MZAZI WA LUPITA ASEMA SIYO KAZI YAKE KUMTAFUTIA MWANAE MPENZI


Anyang Nyong'o baba mzazi wa wa msindi wa tuzo za Oscar,Lupita Nyong'o amesema  uchaguzi wa nani atakuwa mpenzi wa binti yake siyo kazi yake.Kauli ya Anyang imekuja baada ya kuenea kwa uvumi  ukimuhusisha Lupita kuwa na uhusiano na wanaume kadhaa tangu alipopata tuzo hiyo "uhusiano ni kazi yake binafsi mimi sihusiki akiamua anamtaka nani ndiye atakuwa nae.wanaonitaka niingilie kati wananikosea"alisema Anyang  MWANANCHI

No comments:

Post a Comment