Mwanamziki D Banj, ameesema kwakipindi kirefu baba yake alikuwa akimruhusu aendelee kufanya mziki lakini hivi karibuni amegundua mzazi wake huyo hafurahishwi na kazi hiyo.
Ingawa staa huyo kutoka Nigeria amefanikiwa kimataifa tangu mwaka 2012 alipotoa wimbo wa Oliver Twist na kuuza zaidi ya nakala milioni 11,amebaini kuwa baba yake anawasiwasi kwamba kazi hiyo siyo endelevu kwa maisha yake.
'Achana na muziki' hivi ndivyo baba yangu anavyoniambia mara kwa mara,anasema D Banj.
No comments:
Post a Comment