Pages

Monday, March 17, 2014

LULU AFURAHISHWA NA WASANII WANAOJITUMA


Mwigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' amesema anafurahisha sana na wasanii wanaojituma akiwemo Naseeb Abdul 'Diamond' kwani anaipeperusha vyema Bendera ya Tanzania.

Lulu aliyasema hayo baada ya video ya mwanamziki huyo 'My number One Remix' kushika nafasi ya kwanza katika Top 10 za Televisheni kubwa ya Burudani Afrika 'TRACE'

 Lulu aliongeza kwa kusema Diamond anatufanya tujivunie kuwa na mwanamziki bora nchini.

No comments:

Post a Comment