Pages

Monday, October 20, 2014

TWENDE NA WAKATI KARIBU JIONEE KAZI ZANGU

Hizi ni baadhi ya kazi zangu karibu na wewe uende na wakati.karibu VITENGE VYA WAX ORIGINAL KUTOKA CONGO kwa bei ya jumla na  reja reja,na pia unaweza ukachagua  kitenge na ukashonewa nguo hivyo ukauziwa nguo karibu sana.Kwa mawasiliano nambari ya simu ipo hapo juu.


                                   Nikiwa na Banana Zoro pamoja na Hilaly Sadala kikazi zaidi.


Kama unavyojua kuwa makenzi ndo habari ya MUJINI kwa sasa hii ni suruali ya makenzi pia unaweza kujipatia kwa bei poa karibu sana.

KARIBU SASA UJIONEE BAADHI YA PICHA ZA VITENGE  KUTOKA CONGO.KAMA UNAHITAJI UNAWEZA KUPIGA SIMU KWA NAMBA YANGU HAPO JUU.




Karibu sana ujipatie VITENGE VYA WAX ORIGINAL KUTOKA CONGO kwa bei ya jumla na reja reja.

No comments:

Post a Comment