Inawezekana suala la uhaaribifu wa nywele zako,haliwezi
kukujia kichwani mara kwa mara,lakini inaaminika kuwa kwa kiasi kikubwa watu
wamekuwa wakisababisha uharibifu huo bila wenyewe kufahamu.
Zipo tabia mbalimbali ambazo ukizishiriki,utakuwa umehusika moja
kwa moja katika uharibifu wa nywele zako.
Zifuatazo ni njia tisa muhimu zitakazokusaidia kupambana na
tabia hizo na hata kuboresha nywele zako na kuzifanya ziwe zenye afya siku zote
kama zilivyoainishwa na mtandao wa health.com
1.Epuka kusuka mitindo inayovuta nywele
2.Epuka utumiaji pasi au moto mara kwa mara
3.Epuka matumizi ya kemikali,vitu kama rangi ya nywele
Relaxer na vipodozi vingine tofauti tofauti huwa vinakemikali.
No comments:
Post a Comment