Pages

Friday, May 30, 2014

KUSHIKANA MIKONO CHANZO CHA KUSAMBAA MAGONJWA

Uchunguzi unaonyesha jamii haijui namna sahihi ya kunawa mikono mara kwa mara na hii imekuwa chanzo cha kuenea magonjwa mengi.

WASEMAVYO WATAALAMU
Wanaeleza kuwa mikono yetu inagusana na vimelea hatari vya magonjwa tunapokuwa katika vyombo vya usafiri wa umma,tunapokwenda hospitalini kusalimia wagonjwa,tunapogusana na majimaji yatokayo mwilini vidonda au majeraha.

No comments:

Post a Comment